TAZAMA PICHA ZAIDI YA 15 ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA SNURA "USHAHARIBU"

 Juzi tarehe 27 February  ilikuwa ni siku rasmi ya msaniii wa muziki wa kizazi kipya, Snura aka Mama wa Majanga kuanza kushoot vipande vya video ya wimbo wake mpya unaoitwa Ushaharibu, miongoni mwa vipande vitakavyoonekana ni hivi ambavyo vimefanyika nje ya kidogo ya Dar es salaam. Video hii inatengenezwa na Next Level chini ya Director Adam Juma, hizi ni baadhi ya picha zitakazoonekana kwenye video hiyo. Ikiwa imesimamiwa na Manager wake Hyperman HK.


 


































Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...