GPL
MASKINI AMANDA, GONJWA LISILOELEWEKA LAMTESA
Stori: Gladness Mallya STAA wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amepatwa na ugonjwa wa ajabu ambao haujulikani.
Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’.
Katika mazungumzo na paparazi wetu, Amanda alisema: “Naumwa sana na
nimechukua vipimo vingi ikiwemo malaria na presha pale Agha Khan
(hospitali) lakini hakijagundulika chochote ingawa mwili wote unauma.”
GPL
GPL