Kufuatia kuibuka kwa makundi ya kihalifu kama Panya road na Mbwa mwitu ambayo wengi wao wanahusishwa na ngoma hiyo kwenye uporaji na upigaji wa watu, Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Suleiman Kova anasema ‘ni marufuku kwa ngoma yeyote ya asili kuchezwa nyakati za usiku’
HIVI UNAFAHAMU KWAMBA VIGODORO SASA VIMEPIGWA MARUFUKU JIJINI DAR.....HABARI KAMILI SOMA HAPA