Tukisema
dunia imekwisha watu hawaamini, mimi ninadhani ni wakati wakumgeukia
Mungu sasa. Vijana hawo juu wamekamatwa kwa kosa la kufanya mapenzi wote
wakiwa chumba kimoja
na wasichana wao.Najua msomaji
utashituka sana kwamba kwani kosa ni nini hapo, ila kwa wale wanajua
sheria vizuri nadhani watajua kwamba hil ni kosa la jinai.
Taarifa zinasema baada ya watu
kujua upuuzi uliokuwa unafanywa na wanaume hao wakliwa na wapenzi wao
wote wakira uroda kwenye chumba kimoja, msamalia mwema alikwenda polisi
kutoa taarifa na mara maaskari walikuja na kuwakuta vijana ndani ya
mambo kitu roho inapenda(UTAMU KUNOGA).