Matokeo
hayo yanaifanya Mbeya City imalize hatua ya makundi kwa kujikusanyia
pointi nne baada ya mechi tatu, lakini ipo katika nafasi ya pili nyuma
ya miamba ya soka nchini Kenya, AFC Leopards walioongoza kundi kwa
pointi 9.
Mchezo
wa mwingine wa usiku, AFC Leopard walishinda bao 1-0 dhidi ya Academie
Tchite ya Burundi na kushinda kwa asilimia 100 katika kundi lao.
Bofya www.bkmtata.blogspot.com kusoma zaidi