BREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU ZANZIBAR YAMUACHIA KWA DHAMANA ALIYETUHUMIWA KUMUUA PADRI MUSHI



BREAKING NEWS: Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila mmoja.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...