BREAKING NEWS: BASI LA HOOD LA MBEYA ARUSHA LAPATA AJALI MBAYA MOROGORO

1477601_10201954492596684_657048486_n_46e57.jpg



Kuna aliyebanwa hapa...
Zinafanyika jitihada za kuchimba kumwokoa.Inasikitisha na kutia matumaini kumwona aliyebanwa kuanzia kiuno kwenda miguuni naye anajitahidi kuchimba kwa mikono. Ajali hii nimeikuta muda mfupi baada yaimetokea saa moja na nusu iliyopita maeneo ya Melela. Km 30 kutoka Morogoro. Bus la Hood kutoka Mbeya kuelekea Arusha ndilo lililopata ajali.

Kwa hisani ya Maggid Mjengwa


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...