Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu, Happy Kamili.
Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo
za Kumtukuza Mungu, Happy Kamili amehukumiwa kifungo cha Miezi mitatu
jela kwa kosa la Kugonga Gari iliyokuwa nyuma yake wakati alipokuwa
akiirudisha nyuma Gari yake mwezi wa kwanza mwaka huu.Taarifa Kamili inakuja!
CHANZO NI MBEYA YETU BLOG