Home »
Uncategories »
HAKIKA USIJEZEE AJIRA......VIJANA ELFU KUMI WAFURIKA UWANJA WA TAIFA KUGOMBEA NAFAZI 70 TU ZA KAZI KIMBEMBE LIVE!
HAKIKA USIJEZEE AJIRA......VIJANA ELFU KUMI WAFURIKA UWANJA WA TAIFA KUGOMBEA NAFAZI 70 TU ZA KAZI KIMBEMBE LIVE!
Unknown
3:19 PM
Hii sio Brazil... ni uwanja wa taifa Dar sasa hivi, ambapo vijana wasomi wa nchi
hii wamekusanyika kufanya interview UHAMIAJI. Kati ya vijana wote hawa
zaidi ya 10,000 ni vijana 70 tu wanaohitajika. Means watakaoajiriwa. It
is very embarassing kwa kweli. Kila la heri vijana wenzangu mnaojaribu
bahati yenu hapo Uwanjani.!!
Hakika inahitajika nguvu ya ziada kutatua tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania