Very
sad news! Rafiki yetu bondia wa uzito wa juu wa zamani wa Tanzania Iraq
HUDU Kimbunga (huyo wa katikati katika picha hii) amefariki dunia
alfajiri ya leo katika hospitali ya Hindu Mandal. Innalilah
@rehemakays@mwaipayaabdallah@jkikwete
BREAKIN NEWZZZ:- BINGWA WA NGUMI ZA UZITO WA JUU BONGO AFARIKI DUNIA LEO!!
Maulid Kitenge