
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea na viongozi wa Jumiya za Kitanzania 
zilizopo Toronto, Canada siku ya Ijumaa May 30, 2014. Rais Dkt Jakaya 
Kikwete alikuwa Canada wiki iliyopita kuhudhuria kikao cha “Improving 
the Lives of Women and Children: Maternal, Newborn and Child Health “ 
Viongozi wa ZANCANA walipata fulsa ya kumweleza Mheshimiwa Rais Jumuiya 
yao inavyojitahidi kusaidia nyumbani Tanzania katika sekta mbalimbali 
hususan ikijikita kwenye elimu na mahospatalini kwa kupeleka misaada 
mbalimbali mashuleni na kwenye Wizara ya Afya na ustawi wa jamii.

Viongozi wa Jumuiya mbalimbali za Watanzania Toronto, Canada 
wakimsikiliza Rais Dkt. Jakaya Kikwete alipokuwa akiongea nao siku ya 
Ijumaa May 30, 2014.,

Makamu wa Rais wa ZANCANA Jamal Jiddawy katika picha yaa pamoja na Rais Dkt. Jakaya Kikwete

Executive Manger Bishara na Boardmember Zamil  ZANCANA wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais Dkt Jakaya Kikwete
Kwa hisani ya Vijimambo Blog
 

