Madaktari wakianza
kumfanyia Operesheni ya tumbo kwa ajili ya kuondoa mfuko wa nyongo,
mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es
Salaam kwa kutumia vifaa vya kisasa ambapo mgonjwa hufanyiwa upasuaji
kwa njia ya matobo.
Madaktari wakiendelea na upasuaji.
Dokta Muganyizi Kairuki akifanya upasuaji huku akiangalia kwa kutumia kamera maalum wakati wa kufanya operesheni.
Daktari Bingwa wa Upasuaji
Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia operesheni mmoja wa
wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es
Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya ya upasuaji ambayo
hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha uharibifu mdogo kwenye
ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga. (Picha na Francis
Dande)Daktari Bingwa wa Upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia operesheni mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya ya upasuaji ambayo hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha uharibifu mdogo kwenye ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga.
Daktari Bingwa wa Upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia operesheni mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya ya upasuaji ambayo hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha uharibifu mdogo kwenye ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga.
Daktari Bingwa wa
Upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia operesheni mmoja
wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar
es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya ya upasuaji ambayo
hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha uharibifu mdogo kwenye
ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga.
Daktari Bingwa wa
Upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia operesheni mmoja
wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar
es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya ya upasuaji ambayo
hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha uharibifu mdogo kwenye
ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga.
Daktari Bingwa wa Upasuaji
Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia operesheni mmoja wa
wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es
Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya ya upasuaji ambayo
hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha uharibifu mdogo kwenye
ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga.
Madaktari wakiwa kazini
Mawe yaliyotolewa baada ya upasuaji huo kufanikiwa.