Katika siku
za hivi karibuni nchini Kenya kumekuwa kukiripotiwa matukio ya mabomu
yakihusishwa na kikundi cha ujangili cha Alshababi kulipua mabomu katika
miji mbalimbali ya nchini kenya.
Hivi
karibuni polisi wa nchini kenya wamefanikiwa kuwa uwa watu wawili
(pichani) wanasadikiwa kuwa walitumwana kikundi hicho kuja kupandikiza
bomu katika moja ya miji ya nchini kenya lakin zoezi hilo halikufanikiwa
kwakuwa raia wema waliweza kuripoti polisi na kufanikiwa kuwa piga
risasi kabla ya kutega bomu hilo.