
Dereva wa daladala ya Gongo la Mboto – Posta amepata kichapo
na abiria baada kutaka kupindua daladala hiyo karibu na stendi ya mnazi mmoja, kichapo
hicho alikipata baada yeye kutaka kukimbia.

Kichapo kinaendela kwa dereva huyo aliyesemekana kuwa ni
deiwaka tu.

deiwaka wa daladala la Gongo la Mboto Posta katikati
aliyevaa shati la bluu akipewa kichapo na abiria.
DJ-SEKI