Home »
Uncategories »
AJALI YA MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI YAPOTEZA MAISHA YA WATU WAWILI.
AJALI YA MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI YAPOTEZA MAISHA YA WATU WAWILI.
Unknown
10:39 AM
Gari aina ya Rand Rover likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Toyota Corolla.
Gari
dogo aina ya Toyota Corolla lilikiwa limeharibika vibaya baada ya
kugongana uso kwa uso na gari aina ya Rand Rover katika makutano ya
barabara ya Arusha/Moshi jirani kabisa na kipita shoto(Keep left) cha
Arusha
Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali .
Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Rand Rover baada ya kugongwa.