| Baadhi ya ndoo za rangi zikiwa zimewekwa pembeni ya barabara huku asilimia kubwa zimepasuka. |
| Dereva wa gari hilo akishuhudia jinsi wananchi wanavyo gombania rangi ilimradi kila mmoja apate chake mapema. |
| wananchi wakiendelea na zoezi la kuchukuwa rangi iliyomwagika baada ya ajali hiyo kutokea |
| Tela la gari lililokuwa limebeba rangi likiwa limeanguka katikati ya barabara inayoelekea wilaya ya Kahama na nchi jirani ya Rwanda. |
| Wananchi wakichangamkia biashara ya rangi iliyokuwa imemwagika ili wakauze ambapo ndoo ya lita 10 sh 10,000 na lita 20 ni sh 20,000 |
| Kila mmoja akiwahi kuchukuwa chake mapema |
| Tela la gari ambalo limepinduka. chanzo_:stella blog |
