MUONE HUYU NDIO MBONGO ALIYEJICHORA TATTOO YA DAVIDO KIUNONI




Katika kile kinachoonyesha kuwa ni shobo kwa msanii Davido mdada huyu maarufu hapa bongo amechora tatoo kiunoni ambayo ina jina la msanii davido, huku watu wakimponda kwamba hizo ni ndoto na wala davido hajui hata kama kuna mtu kama yeye duniani, haha lakini mwenyewe amedai ni kushow love, ipo tu siku atachora ya diamond au alikiba


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...