BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII

Wasanii wa Bongo Movies wakijifua katika Viwanja vya Leaders jana jioni tayari kwa mpambano wo na Bongo Fleva keshokutwa Ijumaa.
Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere (katikati) akionyesha ujuzi wakati wa mazoezi hayo jana.
Msanii Issa Mussa 'Cloud 112' akijifua tayari kwa mtanange huo utakaopigwa wakati wa Tamasha la Usiku wa Matumaini Ijumaa hii ndani ya Uwanja wa Taifa, Dar. 
Mwigizaji Ray Kigosi akivaa viatu tayari kwa mazoezi hayo.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...