BREKING NEWSSSSS MANSOUR HIMIDI AFIKISHWA MAHAKAMNI LEO


Mtuhumiwa ambaye Aliewahi kuwa waziri katika awamu mbili tofauti  katika serikali ya zanzibar Mansour Yussuf Himid akitoka katika mahakama kuu ya zanzibar ambaye lea alifikishwa kwa mara ya kwanza na kusomewa  mashtaka yanayomkabili  pamoja na  shitaka la kumiliki silaha kinyume na sheria  picha akitoka katika mahakama kuu ya zanzibar leo huku akisindikizwa na usalama na kurudishwa rumande


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...