HATARI KUBWA TAIWAN:. MILIPUKO YA GESI YAUA 22 PICHA ZA TUKIO HIZI HAPA

 Moto uliozuka baada ya milipuko ya gesi nchini Taiwan. 
WATU 22 wamefariki dunia huku 270 wakijeruhiwa baada ya milipuko kadhaa iliyosababishwa na kuvuja kwa gasi kutokea katika jiji la Kaohsiung nchini Taiwan jana usiku. Mlipuko huo uliosababisha moto mkubwa uliopindua magari, kuharibu barabara na baadhi ya majengo.

Majeruhi makitolewa eneo la mlipuko.
 Moto mkubwa ukiendelea kuwaka mtaa wa Kaohsiung nchini Taiwan
  Magari, barabara vikiwa vimeharibiwa na milipuko hiyo.


Maafa zaidi yaliyosababishwa na milipuko hiyo.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...