KUHUSU MREMBO AGNES MASOGANGE KUBADILI URAIA, JE KWA SASA NI RAIA WA WAP ?


 

Kama mnavyojua  kwakipindi cha miezi isiopungua mi nne sasa..
Dada yetu Agnes Gerald aka Masogange aliamia nchini 

Afrika Kusini..Ambako kimsingi alipata bwana wa kuishinaye huko.


kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM 

masogange ametupia picha ya pasi ya kusafiria ya Afrika 

Kusini...na ku-caption alama ya kupiga makofi....hii 

nikuuonesha kuwa kwasasa sio raia tena wa Tanzania..kwa 

mujibu wa sheria zetu hapa Tanzania,haziruhusu uraia wa 

nchi mbili kwa hiyo kama
ni kweli basi Masogange sio

mtanzania mwenzetu tena...Baadhi ya watu waliocomment 

kumsifia ameonesha kuwajibu kwa furaha zaidi..


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...