Msanii
wa bongo movie anayejulikana kwa jina la Irene Paul amepost picha akiwa
na mume wa Flora Mbasha na kuzua minong'ono miongoni mwa mashabiki
ambao wengi wameenda mbali na kudai kuwa wawili hao ni
wapenzi kwa sasa na hasa wakichelea
matatizo yz ndoa ya Mbasha. Hata hivyo Irene Paul hakuweza kuwajibu
mashabiki wake hivyo wengi kubaki njia panda!