UMEIONA GARI ANAYOMILIKI YULE SENETOR WA NAIROBI MIKE SONKO IKO HAPA.


sonko3

Seneta kutoka Nairobi asiye ishiwa na vituko anayejulikana kwa jina la Mike Sonko ambaye anamiliki magari ya kifari lakin moja kati ya magari anayo miliki aina ya  Mercedes Benz ambayo inamuonekano wa kisasa haijawah kutokea Nairobi nzima lakin kingine cha kushangaza zaidi gari yake inachapa ya jina lake kwa mbele upande mmoja wa taa za barabarani tizama picha hapa chini 



sonko4
My Blogger Tricks


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...