VIONGOZI WA UPINZANI WAKUTANA NA JK MUDA HUU Unknown 3:43 PM Rais Jakaya Kikwete. Viongozi wa vyama vya upinzani nchini wameingia Ikulu jijini Dar es Salaam hivi punde kukutana na Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete kwa mazungumzo ya kutafuta muafaka wa marekebisho ya Katiba. Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+