Wateja wakikaguliwa kabla kuingia kwenye maduka katika Jengo la Biashara
la Quality Centre, Dar es Salaam jana. Uongozi wa jengo hilo umeamua
kuimarisha ulinzi wa namna hiyo kutokana na tishio la mashambulizi ya
magaidi , hasa baada Mgambo wa Al Shabaab kushambulia Westgate Kenya na
watu kadhaa kuuwawa!
Home » Uncategories » BAADA YA TETESI ZA UGAIDI SASA ULINZI WAANZA KUIMARISHWA KWENYE BAADHI YA MAENEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)