Anasema yeye mwenyewe binafsi katika
kazi zake za ujasiriamali mtaji wake ameupata kwa kuhongwa na mpenzi
wake akachanganya na fedha yake na maisha yanakwenda.Anafafanua kuwa siku zote mpenzi wako
hawezi kuacha kukuhonga kwakuwa kwenye mapenzi kusaidiana ni
lazima,kwahiyo haoni ajabu yoyote mtu kuhongwa.
"Kusema ukweli mimi mwenyewe boy friend wangu kanisaidia sana na bado anaendelea kunisaidia,mimi sijali mtu aseme lolote analotaka lakini kama nahongwa for benefit sina tatizo na hilo"alisema Linah.
Ameongeza kuwa tatizo watu wamekuwa wana maneno maneno sana na kufuatilia ya watu badala ya kufanya mambo yao lakini ili mradi mambo yake yanakwenda safi hajali lolote anatazama maisha yake zaidi.