Basi la Taqwa lavamiwa na abiria kuporwa



 
Basi la Taqwa likiwa na abiria 51 likitokea Bujumbura kuelekea DSM usiku wa kuamkia leo limetekwa na majambazi eneo la Mirade kata ya Igguguno Mkoani Singida.Abiriawamejeruhiwa kwa kupigwahuku pia wakiporwa vitu mbalimbali. 
Source:. ITV


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...