FLORA: NINGEMKOSA H. BABA, NINGEYUMBA

Stori: Imelda MtemaUA la Bongo Movies, Flora Mvungi amefunguka kuwa anashukuru Mungu kumpata mume mwema, Hamisi Baba ‘H.Baba’ kwani vinginevyo angeyumba kimaisha.
Flora Mvungi na mumewe H. Baba.
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Flora alisema H. Baba ni mwanaume anayestahili sifa zote hivyo endapo angekutana na mwanaume mwingine basi angeyaona mapenzi machungu.
“Mungu hakukosea kuniletea H. Baba, nampenda sana kwani ni mtu anayenijali mimi na mtoto wetu Tanzanite yaani sijui kitu gani ambacho nakikosa kwake, bila huyu maisha yangeyumba,” alisema Flora


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...