RAYUU AKOMALIA WAUME ZA WATU, AACHIA PICHA KIBAO ZA UTUPU KUWATEGA CHECK HAPA LIVE

Stori: Mayasa MariwataMSANII kinda kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rahma Bagenzi ‘Rayuu’ amesema kuwa, kamwe hatokoma kutembea na waume za watu kwa kuwa sheria ya dini yake ya Kiislamu inamruhusu kuolewa na mume wa mtu.
Rahma Bagenzi ‘Rayuu’.
Akipiga stori na paparazi wetu, Rayuu alisema kipindi cha nyuma aliwahi kutoka kimapenzi na mume wa mtu (hakumtaja jina) na kufikia hatua ya kufikishwa polisi na mwenye mke lakini haimaanishi kuwa hatatembea tena na mume wa mtu.
“Nikila kiapo cha kutotembea na waume za watu nitakuwa naongopa, kwanza dini yetu imeruhusu ndoa za uke wenza huenda  Mungu kaniandikia niolewe ndoa ya aina hiyo sina uwezo wa kupingana naye,” alisema Rayuu
Kutokana na maadili ya kitanzania kuangalia hizi picha za RAYUU shariti uwe na umri wa +18

Kwa kuangalia hizo picha bofya hapo chini

    BOFYA HAPA PICHA YA KWANZA


BOFYA HAPA PICHA YA PILI


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...