Mshereheshaji
 Sauda Simba Kilumanga akiwakaribisha wageni katika ukumbi wa JB Belmont
 jijini Mwanza kwa ajili ya sherehe za utolewaji wa Tuzo kwa Wanahabari 
zinazoandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) 
 | 
Baadhi ya wageni mbalimbali katika shughuli hiyo. 
 | 
Meza kuu iliongozwa na Waziri wa Maliasili na Mazingira ,Lazaro Nyarandu. 
 | 
Waziri Nyarandu akiteta jambo na Mkurugenzi wa Utalii na Masoko wa TANAPA,Ibrahim Mussa. 
 | 
Mmoja
 kati ya wageni waalikwa alikuwa ni Mkurugenzi wa Umoja wa vilabu vya 
Waandishi wa Habari nchini ,Abubakar Karsan ambaye alipata nafasi ya 
kuzungumza machache. 
 | 
Majaji walioshiriki kufanya kazi ya kupitia kazi za washiriki . 
 | 
Wageni mbalimbali wakifutilia shughuli hiyo. 
 | 
Mgeni
 rasmi katika sherehe za utolewaji wa Tuzo zijulikanazo kama TANAPA 
Media Award 2013,Waziri wa Maliasili na Utalii ,Lazaro Nyarandu ,akiwa 
na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa,Allan 
Kijazi,Mkurugenzi wa Utalii na Masoko Ibrahimu Mussa pamoja na Meneja 
Ujirani Mwema Ahmed Mbugi tayari kwa zoezi la utolewaji wa TUZO HIZO. 
 | 
Mgeni
 rasmi katika sherehe za utolewaji wa Tuzo zijulikanazo kama TANAPA 
Media Award 2013,Waziri wa Maliasili na Utalii ,Lazaro Nyarandu akitoa 
mfano wa Hundi ya kiasi cha Sh Milioni moja na laki tano kwa mshindi 
namba mbili wa uandaaji wa vipindi vya Radio,Humphrey Mgonja wa Radio 
SAUT fm. 
 | 
Mgeni
 rasmi katika sherehe za utolewaji wa Tuzo zijulikanazo kama TANAPA 
Media Award 2013,Waziri wa Maliasili na Utalii ,Lazaro Nyarandu 
akikabidhi mfano wa Hundi ya kiasi cha Sh Milioni mbili pamoja na Ngao 
kwa mshindi namba moja wa uandaaji wa vipindi vya Radio,David Rwenyagira
 wa Radio 5 FM. 
 | 
Mgeni
 rasmi katika sherehe za utolewaji wa Tuzo zijulikanazo kama TANAPA 
Media Award 2013,Waziri wa Maliasili na Utalii ,Lazaro Nyarandu akitoa 
mfano wa Hundi ya kiasi cha Sh Milioni moja kwa mshindi namba tatu kwa 
waandaji wa vipindi vya Televisheni ,Kakuru Msimu wa Star TV. 
 | 
Mgeni
 rasmi katika sherehe za utolewaji wa Tuzo zijulikanazo kama TANAPA 
Media Award 2013,Waziri wa Maliasili na Utalii ,Lazaro Nyarandu akitoa 
mfano wa Hundi ya kiasi cha Sh Milioni moja kwa mshindi namba tatu 
upande wa Magazeti ,Salome Kitomary wa gazeti la Nipashe. 
 | 
Mgeni
 rasmi katika sherehe za utolewaji wa Tuzo zijulikanazo kama TANAPA 
Media Award 2013,Waziri wa Maliasili na Utalii ,Lazaro Nyarandu akitoa 
mfano wa Hundi ya kiasi cha Sh Milioni moja na laki tano kwa mshindi 
namba mbili kwa waandaji wa vipindi vya Televisheni ,Raymond Nyamwihula 
wa Star TV. 
 | 
Mgeni
 rasmi katika sherehe za utolewaji wa Tuzo zijulikanazo kama TANAPA 
Media Award 2013,Waziri wa Maliasili na Utalii ,Lazaro Nyarandu akitoa 
mfano wa Hundi ya kiasi cha Sh Milioni mbili pamoja na Ngao kwa mshindi 
namba moja  kwa waandaji wa vipindi vya Televisheni ,Vedasto Msungu wa 
ITV. 
 | 
Baadae David Rwenyagira alipata nafasi ya kutoa neno la shukrani kwa niaba ya washidi wa tuzo hizo. 
 | 
Mkurugenzi
 mkuu wa Shirika la hifadhi za Taifa ,Tanzania ,Allan Kijazi akitoa neno
 na kisha kumkaribisha mgeni rasmi katika shughuli hiyo ,Waziri wa 
Maliasili na Utalii,Lazaro Nyarandu. 
 | 
Mgeni
 rasmi katika sherehe za utolewaji wa Tuzo zijulikanazo kama TANAPA 
Media Award 2013,Waziri wa Maliasili na Utalii ,Lazaro Nyarandu 
akitoahotuba yake mara baada ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa tuzo. 
 | 
Mwanamuziki
 Nguli wa muziki wa Bendi hapa nchini King kii a.k.a Mzee wa Kitambaa 
Cheupe na bendi yake alitoa burudani kwa washindi pamoja na wageni 
waalikwa. 
 | 
Kila mmoja aliweka kitambaa Cheupe juu. 
 | 
Baadae likafuatia neno la shukrani toka kwa Mkurugenzi wa Utalii na Masoko ,Ibrahimu Mussa. 
 | 
Mgeni rasmi akapata picha ya pamoja na washindi. 
 | 
Watu
 wa Star Tv ,Bernad James,Yvona Kamutu pia walikuwepo kutoa konos,kwa 
mwenzao Raymond Nyamwihula.Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii aliyeko 
jijini Mwanza. 
 | 