BREAKING NEWS:. UFO SARO WA ITV AMEPIGWA RISASI NA KUJERUHIWA VIBAYA

IMG_0031 
Pichani chini baadhi ya Wafanyakazi wenzake na Ufo Saro kutoka IPP pamoja waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakiwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili ambako Ufo Saro ambaye mpaka sasa, yuko katika chumba cha upasuaji  baada ya kupigwa risasi na mchumba wake Anteri Mushi usiku wa kuamkia leo ambapo pia alimpiga mama mzazi wa Ufo Saro Anastazia Peter Saro miaka 59 aliyefariki hapohapo  na baadae kujipiga risasi mwenyewe na kufa hapohapo, Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Mbezi Luisi 1 2 
Wafanyakazi hao wakibadilishana mawazo hapa na pale katika hospitali ya Muhimbili leo 
3 4


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...