BREAKING NEWZZZ...... NDEGE IMEANGUKA ENEO LA GONGO LA MBOTO DSM



Breaking News: Ndege ndogo ya Kampuni ya Aslum imeanguka eneo la Gongolamboto DSM ikiwa kwenye mafunzo ya vitendo kwa mwanafunzi wa urubani.Ndege hiyo ilikuwa na rubani 1 na mwanafunzi 1
TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...