GARI YA BILIONEA ANAYEMILIKI MANCHESTER CITY YAONEKANA DAR, ANAIMILIKI YUSSUF BAKHRESA


Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili.
Hii hapa mali ya Yussuf Bakhresa
Huyu jamaa ndiye anayeendesha gari la hili la mtoto wa Bakhresa
Angalia alivyotulia ndani ya mzigo wa bei mbaya
Ni oda maalum kwa ajili ya Yussuf Bakhresa 
Bin Zubeiry aliionja kidogo
Mwingine mwenye gari kama hii Dar es Salaam nani? 
Kutoka Manchester hadi Dar es Salaam


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...