''IM NOT SICK,NIKO POA JAMANI NA WALA SIJAPELEKWA HOSPITAL '' PENNY


Penny ambaye ni kimwana wa rais wa wasafi the prezidar diamond platnum  siku ya jana Alikuwa Kazini Siku Nzima Na Kuwa Hajapata Tatizo Lolote linalohusu  Afya Yake. Taarifa Zilizo Sambaa Kuwa Alizimia Na Kupelekwa Hospitalini Sio Za kweli!


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...