|
Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli akisisitiza jambo kuhusu mgomo uliopangwa kufanywa na wadau wa
usafirishaji nchini wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani) leo jijini Dar Es Salaam.
|
|
Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli akifafanua sheria namba 30
ya mwaka 1973 ya usalama barabarani iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2001
inayohusu kiwango cha mwisho cha uzito wa magari, kulia ni Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Kamishna Suleiman Kova akifuatilia kwa makini.
|
|
Kamanda wa Polisi Kanda
Maalum ya Dar Es Salaam Kamishna Suleiman Kova akieleza jinsi Jeshi la Polisi
lilivyojipanga kulinda usalama ili watumiaji wa barabara wasiweze kupata
usumbufu huku akisisitiza kuwa kabla ya Jeshi la polisi kuchukua hatua za
kisheria ni vema vyombo vinavyosimamia usafirishaji vikachukua hatuaKushoto ni Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli.
|
|
Baadhi ya Maafisa wa
Wizara ya Ujenzi na Waandishi wa Habari wakifuatilia kwa makini maelezo toka
kwa Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli.
|
(Picha zote na Eliphace Marwa)