OMMY DIMPOZ AREKODI NGOMA MPYA MAREKANI


STAA wa ngoma ya Tupogo Omary Nyembo‘Ommy Dimpoz’yupo nchini Marekani akipiga shoo mbalimbali huku akifanya maandalizi ya kurekodi ngoma yake mpya.

Ommy amepost video mtandaoni ikimuonyesha akiwa kwenye studio moja ya nchini humo aliyoitaja kwa jina la Xtrim records akirekodi ngoma hiyo ambayo haijajulikana itaitwa jina gani.

Aidha pamoja na kurekodi ngoma hiyo pia Ommy amepost picha mbalimbali akiendelea kuwapagawisha mashabiki wake wa nchini humo.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...