WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WAANDAMANA KUDAI MIKOPO

Mmoja wa Askali Polisi akijaribu kuwasii wanafuzi hao ili waweze kutoa madai yao kwa kufuata haki na misingi ya Kisheria. Mwakilishi kutoka Bodi ya Mikopo akijaribu kuwaelekeza jambo wanafunzi hao. Mwakilishi wa wanafunzi hao akitoa malalamiko yake mbele ya Askali Polisi ili aweze kuwasaidia namna ya kutatu suala lao. Baadhi ya wanafunzi hao wakiwa wamezuiliwa nje ya geti la ofisi hizo. Jengo la Makao Makuu ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu lilolopo Mwenge jijini Dar esa Salaam.
BAADHI ya wanafunzi kutoka vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini, mapema leo wameandamana na kwenda makao makuu ya Bodi ya mikopo ya vyuovikuu iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam, kwa lengo kuishinikiza Bodi hiyo ili iweze kuwapa mstakabali wa upatikanaji wa mikopo yao.

HABARI PICHA: MUSA MATEJA GPL


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...