Kituo cha matibabu ya vidonda vya tumbo cha Rahabu Ulcers Clinic Centre cha jijini Dar es Salaam, kimemkabidhi tuzo ya heshima Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa kwa kutambua mchango wake mkubwa katika jamii.
LOWASSA AKABIDHIWA TUZO YA HESHIMA