WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI MORO.....TAZAMA HAPA

 

Watu wawili wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Super Feo kugongana na Land Rover, eneo la Mikumi, mkoani Morogoro jana. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile amethibitisha kutokea ajali hiyo.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...