Chiep Rocka msanii wa kundi la Rockaz ambalo lilikuwa lina jumuisha wasanii kama Quick Rocka,Mo Rocka na wengine ameandika maneno haya baada ya taarifa ya Jackie Clief kukamatwa huko China.
Chiep alipost picha yake akiwa na Jackie na kuandika,”I feel so sorry for jackie…God be with u and help u thru this one…we r human we make mistakes…wuldnt want to jump on judgin u like how other people do….this is Bad…2013 plz its enuf.”