Breaking News:. Ajali yaua Saba Arusha

Watu saba wamefariki dunia papohapo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya malori mawili kugongana katika eneo la Mti Mmoja wilayani Monduli mkoani Arusha


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...