Breaking News:. Boti ya Kilimanjaro kutoka Pemba kuelekea Unguja yapigwa na wimbi kubwa Nungwi

Meli ilipigwa wimbi kubwa kuna hali mbaya sana baharini, kuna abiria waliokuwa wamekaa on the
deck,juu,wamesombwa na wimbi wametupwa bahari,abiria kama KUMI hivi. Kapteni kwa kuhofia meli kuzama akaondoka na kuwaacha watu hao walielea na wengine kuzama,meli inakaribia unguja na hao WATU KUMI WAMEACHWA BAHARINI WAKIZAMA WENGINE WANAELEA NA MABEGI YAO


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...