Wakuu,

Bomu laonekana makutano ya Barabara za Morogoro na Shekilango!  limejichimbia ardhini maeneo hayo hivi sasa.

Polisi wameshafika na kuzingira eneo hilo tayari kwa hatua zaidi na barabara zimefungwa.

Soure ni Radio one!