Mipango ya mazishi ya Kenneth Lyanga inafanywa na familia yake.NT tunatoa pole kwa familia ya marehemu Kenneth.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Kenneth Kidago Lyanga Mahala Pema Peponi, Amina.
BREAKING NEWS:.KENNETH KIDAGO WA EAST AFRICA RADIO AFARIKI DUNIA