LULU MICHAEL |
BABA KANUM |
Sio kitu kigeni kwa yeyote anaefatilia stori za Tanzania kwenye mitandao na Magazeti, stori ambazo zimekua zikiendelea kuandikwa kwenye baadhi ya vyombo hivyo vya habari huku vingine vikithubutu kumkariri Baba Kanumba, ni kuhusu maneno mabaya na ya chuki ambayo yamekua yakidaiwa kutolewa na mzee huyu kuhusu Lulu.
Kama umewahi kusoma chochote kibaya kilichosemwa na Baba Kanumba kuhusu Lulu, anapenda uyajue haya anayosema kupitia Exclusive interview na chanzo chetu.
‘Mimi
Lulu sijamchukia… tangu zamani wananiuliza nasema sina ugomvi na Lulu
kwa sababu walikua watu wawili, walikua wapenzi wawili….. hatuwezi
kuingilia watu walikua chumbani utajuaje nani kamuanza mwenzake? alafu
wakiniingiza mimi kwamba namchukia Lulu.. hata siku moja sijawahi
kumzungumzia, hao watu walipakazia na ni waongo…. siwezi kumchukia Lulu
wala kumjadili’ – Baba Kanumba