TUKIO
LA KUSIKITISHA NA KUHUDHUNISHA SANA KTK YA MJI WA KAHAMA UNGELIONA LIVE
LAZIMA ULIE BINADAM WENGINE NI ZAIDI YA WANYAMA TAZAMA MAITI HII YA
HUYU MTOTO MDOGO YAKUTWA MAENEO YA SOKO LA WAKULIMA PEMBENI MWA NYUMBA
ZA NATIONAL HOUSE MDA HUU TUKIO LINA HISIWA KUFANYIKA USIKU WA KUAMKIA JANA NA ASIKARI WAMECHUKUWA MWILI WA MAREHEMU.
WAKAZI WA KAHAMA WAKIANGALIA TUKIO HILO.
UMATI WA WATU UKIJAA ILI KUWEZA KUMTAMBUA MTOTO HUYO.