PICHA NA HABARI::MOTO WATEKETEZA NYUMBA NA MALI MKOANI MOROGORO

Moshi ukiwa umetanda angani baada ya nyumba ya mmiliki aliyefahamika kwa jina la Abdallah Mkambala  yenye namba 91T kuungua moto katika mtaa wa Uhuru na kuharlibu mali mbalimbali zilizokuwemo ndani kwa kuteketea kwa moto majira ya saa 11 jioni Manispaa ya Morogoro jana, hata hivyo chanzo cha moto huo hakijaweza kufahamika mara moja. PICHA/MTANDA BLOG

TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE) 
Raia wema wakisaidia kuzima moto.


Askari akihakikisha utulivu unakuwepo kutokana na majanga kama hayo watu wenye tabia za udokozi hawakosekani ili rahisi kuwadhibiti.


 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Pascal Mwakambungu kushoto akitoa maelekeza juu ya kuimalisha ulinzi eneo hilo.
Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Morogoro Bonifance Mbao na Mhe Hassan Malingo wakiwa eneo la tukio.
 Devotha Minja (ITV) kushoto na Hamida Shariff (gazeti la Mwanachi) wakishuhudian tukio hilo.
Wasamalia wema wakisaidia kuvuta mpira wenye maji ili wafanyakazi wa Zimamoto waweze kuzima moto

 Uokoaji wa mali huku mfanyakazi wa zimamoto akimalizia kuzima moto huo uliodumu kwa zaidi ya daka 34.
 Nyumba ya mzee Mkambala inayoonekana kwa nyuma ikiwa paa zake zimeteketea kwa moto.
 Sehemu ya mali zilizookolewa ikiwa ni cherehani pamoja na nguo tu.
 Fatuma Mkambala akilia wakati tukio la kuzimwa kwa moto na kikosi cha zimamoto 
 MZEE ABDALLAH MKAMBALA baada ya kuokolewa wakati nyumba yake ikianza


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...