Wachezaji
wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kulia na Haruna Niyonzima kushoto wakiwa
ndani ya ndege ya Turkish Airline kwa safari ya Uturuki Alfajiri ya leo
ambako wanakwenda kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na michuano ya
Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Bara.
Jerry Tegete katika mgahawa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na chini ni Juma Abdul.
HABARI/PICHA: BIN ZUBEIRY BLOG