Elizabeth Michael ‘Lulu’.
STAA
wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametinga ndani ya Mahakama
Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiambatana na msanii maarufu wa filamu
Bongo, Mahsein Awadh 'Dk. Cheni' tayari kusikiliza kesi yake
inayomkabili juu ya kifo cha marehemu Steven Kanumba!
Lulu amewasili mahakamani hapo bila wasiwasi wowote na kwenda kukaa akisubiri kesi yake kuanza.