Moja ya kamera zetu zilimnasa mrembo huyu mida ya saa nane mchana baada ya kufakamia pombe kuanzia mida ya saa sita,
Baada
ya kufanya uchunguzi wa kina iligundulika mdada huyu alipigwa kibuti na
mpenzi wake na kuamua kunywa pombe kwa ajili ya kuondoa mawazoONYO: POMBE HAIONDOI MAWAZO ZAIDI YA KUKULETEA MATATIZO
